Friendly Match Against @cheyo_ sports_Center U20 Vs Singida Black Stars U20. Played on 30th October 2024. Ali Hassan Mwinyi Stadium. Where the game ended with the Cheyo Sports Center U20 emerging with a victory of 2 goals to zero. ............................................................................................................................ Mechi Ya Kirafiki Dhidi Ya @cheyo_ sports_Center U20 Vs Singida Black Stars U20. Uliochezwa 30th October 2024. Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi . Amapo mchezo huo ulitamatika kwa kituo cha Cheyo Sports Center U20 Kwa kuibuka Na Ushindi Wa Magoli 2 Kwa Sifuri.
Cheyo Sports Center had the opportunity to be visited by teacher Eddie Munnelly from FIFA who is here in Tanzania through TFF For the aim of raising the youth football in our country ( Tanzania ) | Swahili: >>Kituo cha michezo cha cheyo sports center kimepata fursa ya kutembelewa na mwalimu Eddie Munnelly kutoka Fifa ambaye yupo hapa nchini TANZANIA kupitia Tff kwa ajiri ya kukuza soka la vijana hapa Nchini Tanzania
A friendly match between Cheyo Sports Center vs Airport FC, Played at the Tabora Boys Stadium, ended with Cheyo Sports Center emerging with a resounding victory of 6 points, and Airport FC 0. The match had a high level of appeal, which led to coach KIM CHRISTOPHER praising his team by saying they have all played well : More information Visit our YouTube channel | SWAHILI : Mechi ya Kirafiki Kati ya Cheyo Sports Center vs Airport FC ,Iliyochezwa katika Viwanja Vya Tabora Boys,Imetamatika kwa Cheyo Sports Center Kuibuka Na Ushindi Mnono wa Magori 6 ,Na Airport FC 0. Mechi iliyokuwa Na Mvuto wa hali ya juu,Kilichopelekea kocha KIM CHRISTOPHER kusifia kikosi chake kwa kusema wote wamecheza vizuri : Habari zaidi Tembelea channel yetu ya Youtube #matchday #fulltime #soccermatch #FriendMatch⚽💪🤩