ENGLISH: Friendly match against @cheyo_sports_center U15 Vs ngambo FC U15, the match has resulted in @cheyo_sports_center winning 4 goals to Ngambo FC 2 | SWAHILI: Mechi ya kirafiki dhidi ya @cheyo_sports_center U15 Vs ng'ambo fc U15, mechi iyo imetamatikia kwa @cheyo_sports_center kushinda goli 4 kwa ng'ambo fc 2