Our center had the opportunity to be visited by Boniphas Pasawa, who is the coach of the national beach soccer team, also a former player of the Simba sports club football team, for the purpose of sharing experience and providing training. >> SWAHILI: Kituo chetu kilipata Fursa ya kutemebelewa na Boniphas Pasawa ,ambaye ni kocha wa timu ya taifa ya mpira wa soka wa ufukweni ,pia mchezaji wa zamani wa Timu ya mpira wa wa miguu ya Simba sports club,kwa ajiri ya kupeana uzoefu na kutoa mafunzo