A friendly match between Cheyo Sports Center vs Airport FC, Played at the Tabora Boys Stadium, ended with Cheyo Sports Center emerging with a resounding victory of 6 points, and Airport FC 0. The match had a high level of appeal, which led to coach KIM CHRISTOPHER praising his team by saying they have all played well : More information Visit our YouTube channel | SWAHILI : Mechi ya Kirafiki Kati ya Cheyo Sports Center vs Airport FC ,Iliyochezwa katika Viwanja Vya Tabora Boys,Imetamatika kwa Cheyo Sports Center Kuibuka Na Ushindi Mnono wa Magori 6 ,Na Airport FC 0. Mechi iliyokuwa Na Mvuto wa hali ya juu,Kilichopelekea kocha KIM CHRISTOPHER kusifia kikosi chake kwa kusema wote wamecheza vizuri : Habari zaidi Tembelea channel yetu ya Youtube #matchday #fulltime #soccermatch #FriendMatch⚽💪🤩